Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
jobless tupo wengi ila kosa lako la mwanzo umejizarau...kosa la pili umeganda hapo hapo toka ulipo...kosa la tatu huzungumzi na nafsi yako(your soul)...kosa la nne kila JAMBO ni fursa yaani hata wewe wengine wanakuona fursa hivyo ulivyo hivyo hawataki uendelee kwa hyo nawe tafuta wanyonge wako mpk cycle ikamilike.Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi unauhakika, wakati mimi mwisho napiga miayo tu....
Mbaya zaidi nimewazidi baadhi ya neema waajiriwa hapa ndio kivumb๐๐jobless tupo wengi ila kosa lako la mwanzo umejizarau...kosa la pili umeganda hapo hapo toka ulipo...kosa la tatu huzungumzi na nafsi yako(your soul)...kosa la nne kila JAMBO ni fursa yaani hata wewe wengine wanakuona fursa hivyo ulivyo hivyo hawataki uendelee kwa hyo nawe tafuta wanyonge wako mpk cycle ikamilike.
huku unatafuta hiyo kazi ya ndoto yako kama utatamani
Mbona nipo kitambo, Mimi ndo raisi wa ma jobless pro maxIntelligent businessman njoo uungane na mwenzio huku.
hajielewiKama ukiamka mipango yako na nguvu zako ndy pesa yako basi hapo wewe sio jobless.
Mimi ni jobless,baada ya kutafuta kazi sana na Sasa kazi yangu imekua kutafuta kazi,Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi unauhakika, wakati mimi mwisho napiga miayo tu....
Naomba unieleze kwa ufupi ni nini maana ya (haki ni adui wa ujinga)hajielewi
haki na ujinga ni vitu vinavyotofautiana,pingana ili kuipata haki hautakiwi kuwa mjinga na ukiwa mjinga basi ujiandae kukosa haki/mafanikio.Naomba unieleze kwa ufupi ni nini maana ya (haki ni adui wa ujinga)
vyema, nimekuelewa mkuu.haki na ujinga ni vitu vinavyotofautiana,pingana ili kuipata haki hautakiwi kuwa mjinga na ukiwa mjinga basi ujiandae kukosa haki/mafanikio.
Daaah tatizo wee bado ujawa...Mimi ni jobless,baada ya kutafuta kazi sana na Sasa kazi yangu imekua kutafuta kazi,
Naona sasahv nianze kutafuta mume,atakua ananilipa kwa mwezi kwasababu nitampikia,namfulia,namzalia watoto,na vitu vingine vingi ๐ฅฐ
๐๐๐ Shida anakaa Dar. Light skin zinaonekanaga mayaiโฆAtoke huko Dar aje mkoani tumpe madeal