Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Hii haiko straight kama inavyoelezwa. Tunapaswa kufahamu kuwa financial freedom haitokani na chanzo cha mapato yako, bali jinsi unavyotumia kipato chako. Kwa mfano, mtu anaepata kipato chake kwenye ajira anaweza kukitumia kujijengea uhuru wa kifedha na akawa huru kifedha kuliko hata aliejiajiri. Hakuna formula moja kwa watu wote. Kuna watu wengi tu wameajiriwa na wanapata pesa nzuri sana na wamefanya uwekezaji wao na wanaweza kustaafu ajira mapema.​
 
Ni sawa ila yote ina boil down kuwa kwenye mindset ya ku maximize income na input iwe kubwa zaidi ya output income.
 
Ukisema kitu kama "ndani ya miaka 5 uwe umesave kama million 5" Umesahau?

Sasa nikuulize hiyo million 5 ya leo na ya miaka 5 mbele utakuwaje??

Hela haiwezi kuwa na value ile ile hasa within the time frame of saving..

Unaposema tu rely kwenye saving, ni upotoshi mkubwa, save kama unataka kunua kitu, ila sio kwa ajili ya financial freedom
 
Ni sawa ila yote ina boil down kuwa kwenye mindset ya ku maximize income na input iwe kubwa zaidi ya output income.
But that has nothing to do with kuajiriwa vs kujiajiri. Chanzo chochote cha mapato ambacho ni legit kinatosha kukupa uhuru wa kifedha. Formula ni ile ile, make money, manage money, multiply money.

Kumbuka pia sio rahisi kufocus na biashara ukiwa kwenye ajira ndio maana mwanetu amshapopo ametuonesha ni kwa jinsi gani unaweza kufika bilioni hata kama hauna biashara.
 
Ok Boy!!!
 
Kumbuka pia sio rahisi kufocus na biashara ukiwa kwenye ajira ndio maana mwanetu @amshapopo ametuonesha ni kwa jinsi gani unaweza kufika bilioni hata kama hauna biashara.
Ndo nani huyo, tuma resources au info zake niweze kuona kama anaweza kunipa strategy
 
Ipo kwenye nini? Kujiajiri?

Narudia tena, kuajiriwa au kujiajiri vyote ni vyanzo na vyenyewe haviamui kama wewe utakua mtu wa namna gani. Kinachoamua ni namna unavyotumia kipato hicho kujenga utajiri.​
 
Sio rahisi kama una work for money and not money working for you.

Anyways tuache porojo, toa strategy kwa fails yetu sisi. Maana huenda ukawa na right mindset ya kusaidia wengine
 
Namaanisha Una miaka kadhaa kazini,
umejitengeneza kiasi,
Umeshakula posho posho
Sa hivi njaa sio shida
Hayo ni mawazo na mtazamo wako. Ila hakuna watu wenye maisha ya comfort na yenye kukosa uhuru kama waajiriwa
 
Ndo nani huyo, tuma resources au info zake niweze kuona kama anaweza kunipa strategy

Msome hapa. Pia ana nyuzi zake nyingine kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya hisa na mitaji na mifuko ya uwekezaji wa pamoja.

Ajira, hasa ya serikali, ina faida zake, kama ilivyo biashara ambapo ina faida na hasara
 
Sawa na Asante nitapitia maandiko yake
 
KAZI NI MBAYA .... UKIWA NAYO, alisikika mlevi mmoja akisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…