Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Jamaa,Kwenye Kujiajiri kunakupata na kukosa sio uhakika kama ajira
Ukiwa huna right strategy lazima uumie. Ila ajira haina assurance siku ukipata changamoto itakayo kufanya uache kazi, hapo ndo utanielewa
 
Acha ivyo ivyo mkuu umeeleweka ila huchomoki kwenye hili naona furaha yako iko kwenye tarehe izi baada ya 10 days huna kila kitu ,tujitafakari!
Mimi nina plan siishi paycheck to paycheck
 
Nawatahadharisha wafuata mikumbo acha kazi kabla hujajipanga ujue hujui...
 
Nawatahadharisha wafuata mikumbo acha kazi kabla hujajipanga ujue hujui...
Au sio🤣
Kuna jamaa aliomba hela yake na mafao juu a kaenda kulima tikiti zikawa attacked by funza. Ali haha, asijue pa kushika
 
Au sio🤣
Kuna jamaa aliomba hela yake na mafao juu a kaenda kulima tikiti zikawa attacked by funza. Ali haha, asijue pa kushika
Ndo ukweli huo...biashara unaanza mdo mdo huku uko kazini tena tafuta ile ambayo haiitaji usimamiaji wako kwa asilimia kubwa...then ikiwa stable unaweza acha kazi
 
Ndo ukweli huo...biashara unaanza mdo mdo huku uko kazini tena tafuta ile ambayo haiitaji usimamiaji wako kwa asilimia kubwa...then ikiwa stable unaweza acha kazi
Binafsi naona ni sawa ila sio rahisi kama kuongea tu...

It requires an insane amount of discipline and long term commitments.

Ulipotelea wapi dada ake?
 
Kwa sheria za "Ubena-zomozi" kuajiriwa kwa mtumishi wa umma ni kuanzia miaka 18 na kustaafu ni miaka 60 "cash"!Au miaka 55 kuondoka kwa hiyari kwenda kuchunga mifugo.Kwa hiyo,hapo tunapata muda wa kutumika kama ngoma ni miaka (wastani) 35-40 bila nyongeza.
 
Enyi mawinga wa kariakoo mkiongozwa na Lamomy njooni mtoe financial education, mmekalia umbea umbea tu
 
Kwa sheria za "Ubena-zomozi" kuajiriwa kwa mtumishi wa umma ni kuanzia miaka 18 na kustaafu ni miaka 60 "cash" au 55 kuondoka kwa hiyari kwenda kuchunga mifugo.Kwa hiyo,hapo tunapata muda wa kutumika kama ngoma ni miaka (wastani) 35-40 bila nyongeza.
Ndo maana tunaambiwa kuwa ajira isiwe egemeo, ni kheri uwe na mashamba yako ya kukodisha ukiwa tunasubiria hivyo..

Mashamba ni rasilimali nzuri isiyo na presha..

Basi kopa walau ujenge hata vibanda vya kupangisha
 
Sasa unalamika nini jombaa
Umeona nimelalamika? Nilicho ongea kwenye huu uzi sio ulalamishi bali kutoa awareness ya kuwa ajira haina wigo wa kukufanya uwe financially stable
 
Binafsi naona ni sawa ila sio rahisi kama kuongea tu...

It requires an insane amount of discipline and long term commitments.

Ulipotelea wapi dada ake?
Kuajiriwa halafu uache kazi kirahisi tu kwa nia njema ya kujitegemea/kujiajiri ni kweli siyo jambo la lele-mama.Inahitaji mipango endelevu,ramani kamili,mtaji/resources aminika na ujasiri.Kuajiriwa ni zaidi ya utumwa wa zama mpya/neo-slavery!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…