πππRoho mbaya haikusaidii pia acha kumshobokea insider kule kwenye ule uongo wake. Utakuja fanywa vibaya kama yule mwanafunzi wa Dr. Yahaya former RC wa Geita ππππππ π€£
Ni mwendo wa kuoteana bossKweli binadamu umtawala mwenzio kwa kumuumiza π€£π€£π€£π€£π€£
Kweli kabisa...yaani na mie nikimuotea mwanamke, aisee nitamkandamiza kisawa sawaNi mwendo wa kuoteana boss
Anayemuwahi mwenzie anakandamiza tu
Watu wamevurugwa unaleta swaga zako za kiboya ...utapelekeshwa hadi useme yoteKweli kabisa...yaani na mie nikimuotea mwanamke, aisee nitamkandamiza kisawa sawa
Ila wanawake kwa kweli ni wakuwapelekea moto tuu na kutupa kuleWatu wamevurugwa unaleta swaga zako za kiboya ...utapelekeshwa hadi useme yote
Duh hata weweβΊοΈUlikuwa na haraka ya kuwatupia lawama wanawake hadi hujaeleweka. Tulia kama kuachwa ushaachwa, haya tuelezee kinagaubaga bila kuwa bias, kipi kimekusibu?
Duh hata weweβΊοΈ
Sijambo mzimaHujambo totoo?
Na wanaume pia mtakutana na wanawake wa kuwatumia na kutupa kuleeeIla wanawake kwa kweli ni wakuwapelekea moto tuu na kutupa kule
Pole sanaWanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa anafanya kazi zamani mkoa wa Mwanza na sasa hivi inasemekana amepata kazi Dar es Salaam hivyo kuhama kutoka Mwanza mpaka kuja kuishi jijini hapa.
Sasa yule jamaa yangu alisafiri zaidi ya mwezi akarudi, sasa nilivyomuona nikapata mshangao, kulikoni mbona amekuwa hivi, yaani mtu mchafu, hata anachoongea hakieleweki. Basi tukaachana.
Kesho yake akaja na mabegi mawili ya nguo, akayaweka ofisini kwetu, akasema anaelekea Morogoro lakini huyo mtu hana hata mia ya nauli.
Ghafla nikamuona ofisini mtu ana vumbi mwili mzima, sasa kwa wale watu wanaokesha wanasema alifika tokea saa saba usiku, alikaa hapa mpaka mnamkuta asubuhi hii.
Kwa kweli jamaa amechafuka, nikaanza kumuhoji nini kina msibu mpaka kufikia hatua hii?
Jamaa anasema ni mwanamke wake, anamnyima chakula, kulala, yaani hawana mawasiliano yeyote. Akazidi kuniambia ninavyomuona tokea atoke safari kwake hakuendeki ila anazurura, kula ndio kama hivyo tunamnunulia chakula.
Huyu jamaa anasema mbaya zaidi hela za benki huyu mwanamke katoa, gari kazuia, yaani hata hajui pakuanzia.
Kwa kifupi jamaa amechanganyikiwa, hata anachokiongea hakieleweki, anachokifanya hakieleweki.
Nilichogundua
Huyu alimuamini sana mkewe kiasi kwamba vitu vingi alimuandikia mkewe, hivyo mwanamke ameamua kubadilika na kumfukuza jamaa, mwishowe jamaa anajikuta hana kitu.
Wakristo tafuteni mfumo wa talaka.
Hawa watu wanapitia maisha ya hatari sana kwa jicho la tatu, huyu jamaa alisema mambo mazito sana.
Wanaume
Tuwe makini sana katika mapenzi, lolote linaweza kutokea hivyo tuwe makini katika mapenzi yetu, la sivyo unaweza fanya jambo baya sana kwa mwanamke.
Wanawake wamekuwa chanzo kikubwa sana kwenye kuharibu ndoa.
wee acha tuNa wahonga sana vijana
Hiyo safi kabisa watoto wa mujini wanasema both teams to scoreNa wanaume pia mtakutana na wanawake wa kuwatumia na kutupa kuleee
HahahaWanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa anafanya kazi zamani mkoa wa Mwanza na sasa hivi inasemekana amepata kazi Dar es Salaam hivyo kuhama kutoka Mwanza mpaka kuja kuishi jijini hapa.
Sasa yule jamaa yangu alisafiri zaidi ya mwezi akarudi, sasa nilivyomuona nikapata mshangao, kulikoni mbona amekuwa hivi, yaani mtu mchafu, hata anachoongea hakieleweki. Basi tukaachana.
Kesho yake akaja na mabegi mawili ya nguo, akayaweka ofisini kwetu, akasema anaelekea Morogoro lakini huyo mtu hana hata mia ya nauli.
Ghafla nikamuona ofisini mtu ana vumbi mwili mzima, sasa kwa wale watu wanaokesha wanasema alifika tokea saa saba usiku, alikaa hapa mpaka mnamkuta asubuhi hii.
Kwa kweli jamaa amechafuka, nikaanza kumuhoji nini kina msibu mpaka kufikia hatua hii?
Jamaa anasema ni mwanamke wake, anamnyima chakula, kulala, yaani hawana mawasiliano yeyote. Akazidi kuniambia ninavyomuona tokea atoke safari kwake hakuendeki ila anazurura, kula ndio kama hivyo tunamnunulia chakula.
Huyu jamaa anasema mbaya zaidi hela za benki huyu mwanamke katoa, gari kazuia, yaani hata hajui pakuanzia.
Kwa kifupi jamaa amechanganyikiwa, hata anachokiongea hakieleweki, anachokifanya hakieleweki.
Nilichogundua
Huyu alimuamini sana mkewe kiasi kwamba vitu vingi alimuandikia mkewe, hivyo mwanamke ameamua kubadilika na kumfukuza jamaa, mwishowe jamaa anajikuta hana kitu.
Wakristo tafuteni mfumo wa talaka.
Hawa watu wanapitia maisha ya hatari sana kwa jicho la tatu, huyu jamaa alisema mambo mazito sana.
Wanaume
Tuwe makini sana katika mapenzi, lolote linaweza kutokea hivyo tuwe makini katika mapenzi yetu, la sivyo unaweza fanya jambo baya sana kwa mwanamke.
Wanawake wamekuwa chanzo kikubwa sana kwenye kuharibu ndoa.
NaamKuna story imerukwa,
Huyo jamaa hakuwa na vitega uchumi vyake? Huyo jamaa hajaajiriwa? Mana ni rahisi kuporwa kiwanja ila sio kazi au biashara yako
HahahaMtag gwajima kapewa bil 280 kusaidia watu kama hao