Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Story ya Mimi mpaka kuoana na mke wangu Ni ya tofauti na Ni funzo zuri na linalo funza na kusisimua..

Nipo safarini ngoja nikifika kesho ntakuwekea bandiko..
🤣🤣🤣🤣My friend unamuamini mwanamke!?
Kheri umuamini MAMBA na uishi nae ndani ukimlisha atakuheshimu ila sio MWANAMKE.
Tena hasa wanawake wa zama hizi.
Wengi wao wanakimbilia sana mali.
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Weeeh! Nitulie nisome kwa umakini kwani mkataba wa Dp world huo🙆🙆🙆🙆

Mkuu pole sana, usijali hata hilo litapita na hasira zitakuisha.
I feel kuna a part of the story hatujapewa. Wengi tunakimbilia kutoa hukumu bila kujua yaliyojiri behind the scene
 
Aisee pole sana kwa huyo mtumishi wa Bwana though kuna mambo hayajawekwa wazi hapa. Anyways kwa miaka hii ya Masihi kurudi mara ya pili we need the fear of God in our hearts, ni hilo tu....
 
Wanawake wa siku hizi MASHETANI tu.
Mmejawa na ROHO MBAYA ZA TAMAA.
Je yule jamaa aliyeuliwa na mkewe Morogoro kisa bwana wake bodaboda amemkosea nini mkewe!?
Wanawake mmejaa tamaa sana na hizi tamaa zitawa back stab siku moja.
Hujui kwanini kachitiwa halafu hujui waalimu wanakulana wenyewe , wanakula wanafunzi , wanakula hadi wananchi halafu mke kakasirika kaua mume kwa kumchoka anamuaibisha . Nyie hamfai siku hizi mnatesa watu sana
 
Unaongea assumptions nyingi sana.
Ripoti na uchunguzi unasema huyo mwanamke amekua akitembea na huyo bodaboda muda sana na imethibitishwa.
Mbona yeye mwanamke katika kukiri kwake hakusema kuwa alisalitiwa kabla!?
Wanawake wa siku hizi feminism na tamaa ya mali vitawaponza.
Mie sina huruma na mwanamke akizingua stuli ya kichwa.
Mmezidi sana aisee mnachosha tena sana.
Ndio maana mmebaki kuwa masingle mother kwa kiasi kikubwa.
Na mtakua masingle maza wengi mpaka mkome.
 
Wazungu watachukua
 
Back
Top Bottom