Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Ila wanaume mnalia lia sana now days
Hivi ni haya mayai ya kisasa au kitu gani
?

Kwamba mwanamke ndo alikua kichwa cha familia na siyo mwanaume?!!
 
Kuna sababu gani kuficha jina la huyo mkewe wakati unatumia ID fake. Kwa kuficha jina lake tena pengine humu hayumo hatapata ujumbe huu na wewe lengo lako halitatimia
 
Iam a father of two !! Daughter and son but still single and owner of nice house , plots and farms and am living happy ever !!!
 
kuwa na mwanamke mwenye kazi ni usenge mtupu ni swala la muda tu! akishapata watoto wake watatu anataka uhuru wa kufirw# vizuri hapo ndipo anaanza vitimbwi na ni wa kwanza kwenda kwenye madawati ya police wakijiliza kinafki,
kesi nyingi za kudai talaka zinazoongoza ni za wanawake wenye kazi!
Na wengi hata mimba hawawezi kusukuma ni mwendo wa operesheni sangara
Siyo hawawezi kusukuma mimba, hiyo ni fasheni wanawaiga wazungu wenye pesa.

Wanakwambia kuzaa kwa njia ya asili ni kuharibu 'usichana' wake.

Kwa njia ya upasuaji, 'usichana' haunanilii.
 
Iam a father of two !! Daughter and son but still single and owner of nice house , plots and farms and am living happy ever !!!
Wewe umeyaanza maisha yako kwa njia hiyo, kuzaa na kusepa, maumivu utayatoa wapi?

Majuto na vilio vya kwikwi ama vya sauti, hutokea pale ndoa inapo collapse!

Hata ungelikuwa ni wewe mkuu, ungelinyoosha maneno na hiyo furaha unayodai kuwa nayo ingeligeuka msiba.

Penye kuzinguana kwenye ndoa, hakunaga shujaa.
 
Naelewa mkuu ndo Mana nikachagua njia hii nasomesha wanangu vizuri na Sina stress ntaishi na mtu kwa mkataba tu asizingue wanangu ndo roho zangu
 
Huyu jamaa hakuajiriwa, ila anafanya tender zake hasa kwenye petrol station anafunga camera, anatengeneza software za biashara, makanisani, yaani mkuu huyu mtu anatenda mpka nje ya nchi yaani anaunganisha computer ya Ghana na hapa anapiga kazi hata chini ya mti.

Anatenda za kusambaza sweta, uniform kuanzia Tanzania mpka Kenya, mkuu sijui nikwambiaje kuhusu huyu mtu.

Alikuwa na nyumba mbili dar, nasikia kauza, alikuwa na Guest pale Tabora, ngoja nitafute jina nitaliweka hapa

NB:HAKUAJIRIWA NA HATAKI KUSIKIA NENO AJIRA, KWA SABABU ANATENGENEZA FEDHA NYINGI SANA
…na hizo tender za hadi nje ya nchi na zenyewe amenyang’anywa na huyo mwanamke? Kwa jinsi ulivyosimulia mbona ni kama vile huyo jamaa yako kichwani hayupo sawa?
 
Kuna story imerukwa,
Huyo jamaa hakuwa na vitega uchumi vyake? Huyo jamaa hajaajiriwa? Mana ni rahisi kuporwa kiwanja ila sio kazi au biashara yako
[emoji419][emoji375]
 
Wanawake wanateswa sana na wanaume kwenye mahusiano. Akipatikana mwanamke mmoja wa kumtesa mwanaume basi ninaomba amtese Mara elfu moja zaidii ili kulipia mateso wanawake wengi wanayopitishwa na wanaume.
Dada kazaaaa bado hujamtesaaa
Hadi waseme yote
 
Roho mbaya haikusaidii pia acha kumshobokea insider kule kwenye ule uongo wake. Utakuja fanywa vibaya kama yule mwanafunzi wa Dr. Yahaya former RC wa Geita 😀😃😄😁😆😅🤣
 
kuwa na mwanamke mwenye kazi ni usenge mtupu ni swala la muda tu! akishapata watoto wake watatu anataka uhuru wa kufirw# vizuri hapo ndipo anaanza vitimbwi na ni wa kwanza kwenda kwenye madawati ya police wakijiliza kinafki,
kesi nyingi za kudai talaka zinazoongoza ni za wanawake wenye kazi!
Na wengi hata mimba hawawezi kusukuma ni mwendo wa operesheni sangara
Na wahonga sana vijana
 
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Aisee hatari.....ndio maana mie nasema katika jambo ambalonjamii ilikosea ni kukubali wanawake kwenda skonga. Mataliban wana akili sana.
 
Wanawake wanateswa sana na wanaume kwenye mahusiano. Akipatikana mwanamke mmoja wa kumtesa mwanaume basi ninaomba amtese Mara elfu moja zaidii ili kulipia mateso wanawake wengi wanayopitishwa na wanaume.
Dada kazaaaa bado hujamtesaaa
Hadi waseme yote
Kweli binadamu umtawala mwenzio kwa kumuumiza 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom