Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

ukichunguza vizuri mwanaume kama huyu unakuta ni wale wa kupiga magoti ili amvalishe mwanamke pete ya uchumba....

wanawake ni mama zetu dada zetu mashangazi zetu wake zetu ila akili itumike kwenye kuishi nao ukiwa dhaifu lazima upate mshangao..
 
Tunaposema usioe mwanamke msomi mnapandisha shingo Zenu na pumbu Zenu kutwambia hatujitambui mara tumepitwa na Wakati
Haya Sasa ninyi mnaojitambua KIKO WAPI?

wake zetu wasio soma hawajui hata mishara zetu ni sh ngap. Hata hawajui Kuna jamii forum au Facebook aliichukua simu yeye kuangalia picha tu na clip za vichekesho na gospel 😂

Mara zote naleta salary slp Wala hajisumbui kuangalia hajui hata Kuna basc Wala allowance.

Mtaelewa tu huko tunakoenda Hadi mtembee boxer zipo kichwani.

Narudia Tena. "NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE"
Kuoa ni kubeti
Tatizo simu hana, ili niwatafute hata ndugu zake nijue wanamsaidia vipi, nataka nizame facebook nichague hata wadau 10 lengo nipate ndugu wa huyu jamaa wamsaidie, maana hapa dar hanaga ndugu zaidi ya yeye kuja na kufanya biashara zake japo alijenga
Duh embu fanya ivo.Simu Hana kivip mtu kama huyu na kazi zake izo?
 
kuwa na mwanamke mwenye kazi ni usenge mtupu ni swala la muda tu! akishapata watoto wake watatu anataka uhuru wa kufirw# vizuri hapo ndipo anaanza vitimbwi na ni wa kwanza kwenda kwenye madawati ya police wakijiliza kinafki,
kesi nyingi za kudai talaka zinazoongoza ni za wanawake wenye kazi!
Na wengi hata mimba hawawezi kusukuma ni mwendo wa operesheni sangara
Hata asiekua na kazi bado ni kipengele, in short maisha magum kwa sasa ni maisha ya ndoa
 
1. Hujielewi.
2. Ulikuwa unataka kumfanyia hivyoo ukaishi kwa malaya akakuwahi
3. Kama ni yeye amekuchukulia mali zote bila sababu utapata nyingine nyingi.
Au nendeni mahakamani . Mpaka ameondoka kamuachia mwanamke vitu vyote kuna siri ambayo imebidi amuachie kila kitu. Kama yule mwanamke mwibaji wa jipe moyo utayashinda naye hivyo hivyoo ila akapata tajiri mkubwa karudisha mali zote
Wanawake wa siku hizi MASHETANI tu.
Mmejawa na ROHO MBAYA ZA TAMAA.
Je yule jamaa aliyeuliwa na mkewe Morogoro kisa bwana wake bodaboda amemkosea nini mkewe!?
Wanawake mmejaa tamaa sana na hizi tamaa zitawa back stab siku moja.
 
Sisi tunao waamini kwa miongo kadhaa sasa tufanye sass
🤣🤣🤣🤣My friend unamuamini mwanamke!?
Kheri umuamini MAMBA na uishi nae ndani ukimlisha atakuheshimu ila sio MWANAMKE.
Tena hasa wanawake wa zama hizi.
Wengi wao wanakimbilia sana mali.
 
Back
Top Bottom