Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

Mchukue

Mwingine ni Stefano Mtangoo . Sema huyu jamaa lazima aje na li-kampuni lake. Watakuchaji hela kibao.
Ila wewe jamaa wewe!
Mimi sina muda kwa sasa as individual kwa sasa! Kwa hiyo only time ambayo ninayo ni ile kampuni imechukua. So lazima a negotiate na bwana kampuni ili kazi iende 😉
 
Back
Top Bottom