ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Ulishawahi kuishi nao mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kuishi nao mkuu?
😂😂😂eeeee Dada jomoniiEeeeeeh
Dada tangu lini umekuwa mchochezi??😁Couple yenu bado ipoo??? Nauliza tu[emoji126] [emoji126]
Tuna vitu gani hivyo adimu mpaka utupende white....
Sijui yani nawapenda tu.Tuna vitu gani hivyo adimu mpaka utupende white....
Nakumbuka enzi hizo nasoma chuo nilikuwa nazali na watoto wa kichaga kwelikweli...
Na wao pia nashukuru walikua wananielewa hadi ikafikia nikapandikiza mbegu yangu huko....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi urefu utakua unakuchanganya wewe....
Hizi mada nzuri sana kwa baadhi ya watu.
Kuna Uzi kuhusu;
Shule uliyosoma.
Kabila
Half caste
Uliyesoma naye.
Tabia yako
Chuo.
Shule ya msingi etc
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli mnajua kupenda na mnajali. Shida yenu gubu tuu. Yan mnajua kususa. Urefu pia yes. Ukimya.Nahisi urefu utakua unakuchanganya wewe....
Halafu kitu kingine niligundua wadada wengi wa kichaga wanatukubali kwa kuwa tukipenda tunakuwa wajinga fulani hivi hasahasa kwa rangi nyeupe.....
So wanakuwa wanatupelekesha kwelikweli ila kwangu hii kitu haikuwepo exposure ni nzuri sana katika maisha aisee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Amaiya/ mbuya yake okoghendelya omokale wane.....Amang'ana...lol
Ukiona umesuswa jua kuna mahali umemkwaza na hutaki kukubali kosa....Kweli mnajua kupenda na mnajali. Shida yenu gubu tuu. Yan mnajua kususa. Urefu pia yes. Ukimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sio mbaya lovely one, Hata hivyo sio vibaya tutafundishana maana mimi ni mkurya wa mjini kuna baadhi ya matamushi yananishinda....hahaaaaaaaaaa najua hilo neno moja tu honey,hope utanifundisha more😉😉😉😉
Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..Ukiona umesuswa jua kuna mahali umemkwaza na hutaki kukubali kosa....
Mbona tunasamehe sana na tunasahau bila shida white....
Sent using Jamii Forums mobile app