Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Hahahaha umeanzaSiku njema huonekana asubuhi, nipo hapa mpenzi mtazamaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha umeanzaSiku njema huonekana asubuhi, nipo hapa mpenzi mtazamaji
Kitambo sanaHahahaha umeanza
Hongera sanaKitambo sana
siyo powa
Ahsante kwa kutoa ushirikianoHongera sana
Hahahahaa hebu mmAhsante kwa kutoa ushirikiano
Ebu pokea pongezi/shukrani huko....Hahahahaa hebu mm
Kumbe ndo maana unayajua mambo ya Pwani. Hivi madam huna mdogo wako nije kuowa.?Digo and shirazi
hahhahhaa yaani wewe sawa bwaa shukranEbu pokea pongezi/shukrani huko....
Mambo ya pwani tena????? Yapi?? Pole niko wa kike mimi tuKumbe ndo maana unayajua mambo ya Pwani. Hivi madam huna mdogo wako nije kuowa.?
Sent using my NOKIA torch
Hapo sawa.hahhahhaa yaani wewe sawa bwaa shukran
Ya pwani tu kawaida wala usijali. Wakike wewe tu? Huko ushirazini hakuna mwingine?Mambo ya pwani tena????? Yapi?? Pole niko wa kike mimi tu
Kumbeee?!!!nashukuru kwa taarifaa!!Hata mtu akikosea hamsemehi mpaka mjisikie. Na hamuwezi mkasema kama mtu asipojiongeza. Ila nawapenda sana wanaume wa kanda yenu. Na mnajua kuhandle mwanamke hadi ajione dunia yake jamani. Wakurya mnapenda bwana..
Sent using Jamii Forums mobile app
My bloodline toa tu hiyo sukuma![emoji15] [emoji15]SUKUMAHAYA AND IRISH.
Afuu inawezekana kuna mkaka ofisini ni msukuma + mzigua yaan anatia kichefuchefu kwakweli!watu wa ukerewe kwa majungu na uchawi hapana chezea
Hahahaha wapo sema muhim ukatafte mwenyeweYa pwani tu kawaida wala usijali. Wakike wewe tu? Huko ushirazini hakuna mwingine?
Sent using my NOKIA torch
Jamani hata kaz asifanye???? Atakuja baadae akiwa free now ameenda kwenye mihangaiko yakeHapo sawa.
Naona mbebezi wako ananikwamishia kazi hapa
Talk sense...labda wale wenye profile safi ndio watajitokeza na wenyewe kuna siku watataka kujificha kutuma vitu vya kuudhi,ama sensitive.heheeee ..tubaki na ua anonymous,kwanza kama Avatar huwa zinaeleza mengi, kwa mfano mimi ni kibibi halafu mbishiiii angalia Avatar utaona ni mzee na misuli ya shingo imekakamaaa hahaaaa….japo kuna cases nyingine ziko tofauti,ila jua avatar na tunayoyaandika humu vinakua ni snapshot ya mtu jinsi alivyo,so angalia Avatar kama ni mrembo jua kwa asilimia kubwa sana huyo mtu ni mrembo kweli ,ama sivyo ,huyo mtu anajiamini na kujikubali maumbile yake sana...anaweza asiwe na urembo wa vigezo vya kila mtu lakini kwa hao wachache aliowahi kukutana nao wamemfanya kuwa confident kuwa ni mrembo...