Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

Ooh pole sana white....

Ila kama ulipangiwa kuolewa na mwanaume kutoka kanda maalamu na hakika utampata atakaye kupenda na kukuthamini 100%....

Ikitokea ukapata mchumba wa kikurya na mkataka kufunga ndoa nitaomba uni PM nitakuchangia kiasi fulani bure kabisa white .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujipange kuchanga kwangu soon me na kaka ako tunafunga ndoa na kule kwenu mkajiandae kupokea mkwee
 
Back
Top Bottom