Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

Ex wanguvwa kikurya jamani abarikiwe yule kijana na nshamsemehe. Alinifanya nijione malkia haki hadi nikatamani na mimi kuwa mke wa pili baadae nikaona ntajitesa tu maana nampenda sana nikamuacha japo roho iliniuma kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilikuwaga na mnyamwezi ajaaajaaah mkaka alioneshaga love sijawahi ipata mahali dunia hii!...sema mizinguo yangu tuu maskini!

Mwenyezi Mungu amjaalie R huko aliko mambo yake yamnyokee!

Wasukuma ukiwa na ka rangi na kishundu kidogo wanachanganyikiwa hao jamani. Na wanapenda mbaya. Anaweza akakuhonga Mwanza Simiyu na Geita viwe vyako.

Wanyamwezi sijui naonaga tu wana tabia za watu wa Pwani. Sipendi wanaume wa Pwani japo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom