Wewe ni handsome au gentlemen?

Mimi sio Handsome
Nina sura ya Babu wa ukoo

Pia sio Gentleman ni mgaigai Fulani
Ukikiwasha nami nakiwasha
Ukitulia nakupiga tukio

Hivyo sipo kwenye category yoyote
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ushimen DeepPond mzabzab Glenn
Ni kweli hamjaona mlivyoitwa na ua la kipekee..?! Hebu mjibuni dada wa watu..!!
 
Ah wapi handsome ukiwa na hela bwana sasa hapa nikijikuna natoka vumbi 🤣🤣🤣🤣
When u have money, u r handsome.
Vipi wewe are u beautiful au sexy?
Yes, best , dah ! Sina hela ila siutanipa??
 
Handsome ni mwanaume/ mvulana mwenye haiba nzuri inaweza kuwa sura yenye mvuto au hata mwili wa mazoezi au vyote viwili yaani sura yenye mvuto na mwili pia.

Gentle man ni mwanaume/mvulana mwenye tabia ya kistaarabu au mwenye huruma kwa watu wanao mzunguka. Mfano anaweza kutana na watoto wadogo wanataka kuvuka barabara yenye magari akaacha safari yake akahakikisha amewavusha upande wa pili wa barabara ndiyo akaendelea na safari yake. Au mmekaa mahali akaja mtu Mume/Mke akakosa kiti sasa yeye aka offer kutoa kiti kwa yule mtu then yeye akatafute kiti kingine.

Kiufupi gentleman ni tabia ya mtu (Mwenye hulka ya kufanya matendo ya huruma) ambaye yeye hutanguliza maslahi ya wale wanao mzunguka au anaokutana nao.

Nikisema ni mstaarabu nakosea maana ustaarabu unatofautiana kati ya sehemu na sehemu. Kuna sehemu kusalimia mtu ukatoa mkono siyo ustaarabu wakati sehemu nyingine ndiyo ustaarabu. Kuna sehemu wanaume kusalimiana ni lazima wabusiane wakati sehemu nyingine inaweza tafsiriwa tofauti.
Unaweza ukawa the most handsome man in your area lakini ukawa mshenzi wa tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…