Wewe ni handsome au gentlemen?

Wewe ni handsome au gentlemen?

Mimi sio Handsome
Nina sura ya Babu wa ukoo

Pia sio Gentleman ni mgaigai Fulani
Ukikiwasha nami nakiwasha
Ukitulia nakupiga tukio

Hivyo sipo kwenye category yoyote
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ushimen ni handsome hat aimfikii ugentlemen anaelement kadhaa bado hajafikia .
DeepPond ni kigeugeu so bado hatumuelewi
Mzab zab yeye ni handsome gentlemen akija pata mke ndio anafaa kuitwa hivyoo saivi ni handsome .
Glen ni Gentlemen ila sijajua kabisa kama anazo sifa zote
Mshana jr mi sijui .

Buji buji Sophie jibu swali Hilo .
Wengine sijui
Ushimen DeepPond mzabzab Glenn
Ni kweli hamjaona mlivyoitwa na ua la kipekee..?! Hebu mjibuni dada wa watu..!!
 
Ah wapi handsome ukiwa na hela bwana sasa hapa nikijikuna natoka vumbi 🤣🤣🤣🤣
When u have money, u r handsome.
Vipi wewe are u beautiful au sexy?
Yes, best , dah ! Sina hela ila siutanipa??
 
Gentlemen ni mwanaume anayejipenda kujitambua anaeleweka na anarohi nzuri sio mnafiki .

Anaweza kuwa SI tajiri ila anajichukua Sasa unaweza ukawa tajiri ila hivyoo Huna utu huna ni manglemen waonao .

Handsome ni mtu yeyote mzuri ila inatumika Kwa wote wasichana na wavulana ila nikwa wavulana sana sio wasichana .


Na ma handsome ni wale waziri ila sio wanaojichukua asilimia kubwa .

Na ndio maana mahandsome wengi kama jux wanabwagwa hao ndio mahandsome someone who is looking good
Handsome ni mwanaume/ mvulana mwenye haiba nzuri inaweza kuwa sura yenye mvuto au hata mwili wa mazoezi au vyote viwili yaani sura yenye mvuto na mwili pia.

Gentle man ni mwanaume/mvulana mwenye tabia ya kistaarabu au mwenye huruma kwa watu wanao mzunguka. Mfano anaweza kutana na watoto wadogo wanataka kuvuka barabara yenye magari akaacha safari yake akahakikisha amewavusha upande wa pili wa barabara ndiyo akaendelea na safari yake. Au mmekaa mahali akaja mtu Mume/Mke akakosa kiti sasa yeye aka offer kutoa kiti kwa yule mtu then yeye akatafute kiti kingine.

Kiufupi gentleman ni tabia ya mtu (Mwenye hulka ya kufanya matendo ya huruma) ambaye yeye hutanguliza maslahi ya wale wanao mzunguka au anaokutana nao.

Nikisema ni mstaarabu nakosea maana ustaarabu unatofautiana kati ya sehemu na sehemu. Kuna sehemu kusalimia mtu ukatoa mkono siyo ustaarabu wakati sehemu nyingine ndiyo ustaarabu. Kuna sehemu wanaume kusalimiana ni lazima wabusiane wakati sehemu nyingine inaweza tafsiriwa tofauti.
Unaweza ukawa the most handsome man in your area lakini ukawa mshenzi wa tabia.
 
Back
Top Bottom