Wewe ni handsome au gentlemen?

Wewe ni handsome au gentlemen?

Ushimen ni handsome hat aimfikii ugentlemen anaelement kadhaa bado hajafikia .
DeepPond ni kigeugeu so bado hatumuelewi
Mzab zab yeye ni handsome gentlemen akija pata mke ndio anafaa kuitwa hivyoo saivi ni handsome .
Glen ni Gentlemen ila sijajua kabisa kama anazo sifa zote
Mshana jr mi sijui .

Buji buji Sophie jibu swali Hilo .
Wengine sijui
 
Nn tofauti yake
Gentlemen ni mwanaume anayejipenda kujitambua anaeleweka na anarohi nzuri sio mnafiki .

Anaweza kuwa SI tajiri ila anajichukua Sasa unaweza ukawa tajiri ila hivyoo Huna utu huna ni manglemen waonao .

Handsome ni mtu yeyote mzuri ila inatumika Kwa wote wasichana na wavulana ila nikwa wavulana sana sio wasichana .

Na ma handsome ni wale waziri ila sio wanaojichukua asilimia kubwa .

Na ndio maana mahandsome wengi kama jux wanabwagwa hao ndio mahandsome someone who is looking good
 
Tuambieni wewe ni handsome au gentlemen? Haya tuanze kuwapima watu kama mnajua kutofautisha hii misemo
Sahau kuhusu Uhandsome na Ugentleman..kuna hili kundi la wanaume wachache sana duniani/nchini...SIGMA MALE...kafanye utafiti wako huko Google au YouTube halafu uje uwaelezee hapa.
Mimi ni mmoja wapo.
 
Gentlemen ni mwanaume anayejipenda kujitambua anaeleweka na anarohi nzuri sio mnafiki .

Anaweza kuwa SI tajiri ila anajichukua Sasa unaweza ukawa tajiri ila hivyoo Huna utu huna ni manglemen waonao .

Handsome ni mtu yeyote mzuri ila inatumika Kwa wote wasichana na wavulana ila nikwa wavulana sana sio wasichana .

Na ma handsome ni wale waziri ila sio wanaojichukua asilimia kubwa .

Na ndio maana mahandsome wengi kama jux wanabwagwa hao ndio mahandsome someone who is looking good
Huoni kama yanaingiliana kwa asilimia flan 7bu mtu anaweza kuwa handsome na akawa gentleman pia
 
Nyie tafuteni hela achaneni na hizi tantalila nilimwambiaga Daby kwenye uzi wake mmoja hivi.
 
Back
Top Bottom