Wewe ni miongoni mwa waliokuwa wanaamini Kasuku anaongea?

Wewe ni miongoni mwa waliokuwa wanaamini Kasuku anaongea?

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Wengi mnaongopewa Kasuku ana uwezo wa kuongea huo ni uongo mkubwa Kasuku hawezi kuongea na haongei

Mwingine atakuongopea Kasuku wako mdogo hajafika umri wa kuongea kimoyo moyo anakucheka
 
Back
Top Bottom