Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

Kombat na michezo yote ya hatari, yaani ukiniona tu utajua mimi ni mtu wa aina gani
 
Dah me mkali wa Ligi gari Gia 16 lakin nacheza nalo mnasubiri chalinze af nyuma nina tan 32.fukuza mpka upasue tairi
 
Mimi ni John Cena hapa pia naweza kukupiga teke la sheamus na boxing zako[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Au nije tuzichape ulingoni
Mkuu unaangalia mieleka kupitia chanel gani nimepitwa xana huwa napenda huu mchezo vbaya mno tulikuwa tunatumia cable sasa yulinunua kisimbuzi wanaonesha marudio ya miezi 3 iliyopita naomba jina la kisimbuz unachotumia na na jina la chanel mkuu
 
Mi huwa nafuatilia kupitia channel yao ya Youtube.. Inaitwa WWE.. Yaani hapo mieleka ya jana usiku utaiona leo asubuh tofaut na kwenye tv wanarusha ya miezi mitatu nyuma
 
Mi huwa nafuatilia kupitia channel yao ya Youtube.. Inaitwa WWE.. Yaani hapo mieleka ya jana usiku utaiona leo asubuh tofaut na kwenye tv wanarusha ya miezi mitatu nyuma
Asante mkuu ntakuwa ckoc huko YouTube
 
soka, hasa la makaratasi ali maarufu kama cha ndimu. napiga chenga gaucho anangojea sana. nilipga cha nikiwa chuo kikuu.
 
Football na volleyball kias, basket na handall ndo haswaaaa.Kwa MICHEZO ya kukaa draft aisee
 
Back
Top Bottom