Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Kombat na michezo yote ya hatari, yaani ukiniona tu utajua mimi ni mtu wa aina gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Nitarudi baadae kuitwa John Cena lakini kwa sasa naitwa Undertaker kwanza
6 x 6 I guessKwenye mchezo wowote ambao hauhitaji hasira!
Mkuu unaangalia mieleka kupitia chanel gani nimepitwa xana huwa napenda huu mchezo vbaya mno tulikuwa tunatumia cable sasa yulinunua kisimbuzi wanaonesha marudio ya miezi 3 iliyopita naomba jina la kisimbuz unachotumia na na jina la chanel mkuuMimi ni John Cena hapa pia naweza kukupiga teke la sheamus na boxing zako[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Au nije tuzichape ulingoni
Mi huwa nafuatilia kupitia channel yao ya Youtube.. Inaitwa WWE.. Yaani hapo mieleka ya jana usiku utaiona leo asubuh tofaut na kwenye tv wanarusha ya miezi mitatu nyumaMkuu unaangalia mieleka kupitia chanel gani nimepitwa xana huwa napenda huu mchezo vbaya mno tulikuwa tunatumia cable sasa yulinunua kisimbuzi wanaonesha marudio ya miezi 3 iliyopita naomba jina la kisimbuz unachotumia na na jina la chanel mkuu
softly killer!mm boxing aisee ila ukiniona huwezi nidhania kwa kuwa muda wote nipo na furaha tu