Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Mwenzetu hapa kasema anapenda neema za allah, lazia anamiliki kama sita hivi kama sikosei
 
Napenda kucheza Music hasa Lingala, Reggae, Dance yaani zikipigwa tu na'vibrate.

Halafu kuna wale wamejaliwa zile namba 8 nikiwaona tu furesh kabisa japo fahari ya macho.
 
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.

Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)

2. JF.
Mimi mlevi wa

1. WEBSITE YANGU MONEY PENNY TZ

2. SERIES NA MOVIES ZOZOTE DUNIANI, CURRENTLY 50 SHADES FREED!

3. Tamthilia yangu ninayotengeneza

4. KANISANI. DOH me na kanisa buana hunibandui

5. MIZIKI ya Old school baby!

6. SNAPCHAT ingawa skuhizi wameniboa wamebadilisha templete!
 
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.

Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)

2. JF.
1. Internet
2. Mpira wa miguu
3. Mazoezi
 
Back
Top Bottom