Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Mwifwa....nina swali kwako.
Hii mada ulikuwa unaongelea kilevi. ....
Ulimaanisha addiction au Hobby?
Nimeuliza hivi sababu naona wengi wetu tunajibu vitu viwili...
Hobbies na Addictions.
Bila kusahau hobbies zinaweza kufika kwenye level ya kuitwa addiction.
 
Chief kuna mtu ana hobby ya kula au hobby ya kuangalia porno...?mtu unaweza ukawa na hobby ya pombe!!!!!!!
 
Nielewavyo mimi ukiwa na hobby ni kwamba unapenda kufanya ile kitu na kinafanyika kwa kuzingatia taratibu/masharti zilizowekwa.
Kula kunaweza kuwa hobby ndio....ila unapokuwa unakula bila kuzingatia taratibu za kiafya hapo inakuwa tatizo linalosemakana uko na addiction ya chakula.

Hobby ni kupenda kufanya kitu kwa kiasi na kwa kufurahia. ..ukiona hobby inakuletea kero na kusababisha matatizo ujue imebadilika kuwa addiction.
 
Hobby unazaliwa nayo?hobby inakuja badala ya kukutana na mazingira fulani?
 
Mwifwa....nina swali kwako.
Hii mada ulikuwa unaongelea kilevi. ....
Ulimaanisha addiction au Hobby?
Nimeuliza hivi sababu naona wengi wetu tunajibu vitu viwili...
Hobbies na Addictions.
Bila kusahau hobbies zinaweza kufika kwenye level ya kuitwa addiction.
Addiction
 
Mi ulevi wangu pesa aisee acheni nyie nazipenda mpaka najionea wivu
 
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.

Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)

2. JF.
Mi bhana kahawa naipenda sana
 
Back
Top Bottom