spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Papuchi yenye chura! Ile ambayo ikipita lazima ugeuke kushuhudia. Yaani hapo ndo furaha yangu moyoni mwangu huwa inakamilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bado love!! Huwa nikiishiwa na life ndo naanza kuingia sehemu zingine sasaNa jinsi ya kupata 'life' kinyemela?
Sina muda na kubishana kwa ajili ya picha!Wacha hizo hiyo ni avatar yangu au we huoni nimeanza kuitumia tangu mwaka juzi
Nitafute pm nikuelekeze...Hiyo bado love!! Huwa nikiishiwa na life ndo naanza kuingia sehemu zingine sasa
Nakuja sasa hiviNitafute pm nikuelekeze...
Taadhari usije kukesha lakini[emoji6]
[emoji6] [emoji6]Music
Money
Internet
Meat(pork! and chicken please)
Pringles
Umeanza umalaya eti ndio maana unawekwa namba moja wewe[emoji6] [emoji6]
Vidole vinaandika ila moyo unabisha kabisaahahahahahaha...
nabishaa!!
shindwa na ulegee.. huyo Dr. wangu muulizeUmeanza umalaya eti ndio maana unawekwa namba moja wewe
Daaah, I see!Smatfon
Movies specifically Korean drama
Haya bana sukari ya warembo hakuna mwingineeshindwa na ulegee.. huyo Dr. wangu muulize
[emoji123] [emoji123]Haya bana sukari ya warembo hakuna mwinginee
Nipo 743, Yaan hadi alienifundisha nimemuacha mbali halafu mimi co mpenz wa games kabisa ila hii kitu imenikamata kwakweli.Nilianza taratibu hivyo hivyo....najitahidi kuacha kwa sasa.
Niko 1884
Karibu kwenye club.[emoji5]Nipo 743, Yaan hadi alienifundisha nimemuacha mbali halafu mimi co mpenz wa games kabisa ila hii kitu imenikamata kwakweli.
AsanteKaribu kwenye club.[emoji5]
Nini shida MjuniDaaah, I see!
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.