Kumbeee...Makuuu
Eehe ulevii wa wanaume woteeKumbeee...
Siwezi kupenda pesa afu nisiwe nazoUnazo sasa?
Sio wote lakini wengine ni wastarabuEehe ulevii wa wanaume wotee
Kwani kuwa mlevi wa K unakuwa sio mstaarabu??Sio wote lakini wengine ni wastarabu
Sio ustaarabu kabisa maana sio vizuri kuacha kwako unabugia kwa mwenzioKwani kuwa mlevi wa K unakuwa sio mstaarabu??
Hongera mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Siwezi kupenda pesa afu nisiwe nazo
Mimi mlevi waTuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
1. InternetTuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
Unapiga number ngapi?1. Internet
2. Mpira wa miguu
3. Mazoezi
1 (golie) mkuu.Unapiga number ngapi?
Hongera mimi six number1 (golie) mkuu.
Poa poa mkuu, pamoja sana.Hongera mimi six number