Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.

Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)

2. JF.
Games & kuwa karibu na mpenzi wangu tu.
 
need for speed ....uipate payback mara ya kwanza nililala nimeshika padi
forza horizon hii naipendea online ...dah nisiongee sana hivi vitu hatusimuliagi....
 
Back
Top Bottom