Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Games & kuwa karibu na mpenzi wangu tu.Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
na upopo je?Simu ndo ulevi wangu
Asante Kwa kunikumbusha japo sio kivile bhn kwenye upopona upopo je?
Unapenda miziki gani?Muziki,simu
Aina zote mkuu.Unapenda miziki gani?