Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni movie ya 1942 - Black & White (Love Story kati ya watu wawili ambao wali-sacrifice penzi lao, ina good acting and great dialogue) Ni Vigumu kuelezea ila niki-qoute baadhi ya maneno ya CriticsInahusu nini?
Weka nyama nyama
Ingawa sijasema kwamba utaipenda ila kama upo kwenye hii industry huoni kwamba ni jukumu lako kuangalia wengine wanchosema kuwa ni classic ?, Binafsi nadhani ni nzuri sababu ya actors wali-act vizuri, vilevile kipindi ambacho hakuna CGI, Camera Tricks wala vinjonjo vingi, story lazima iwe imeshiba and in my Humble Opinion its a good story...Casablanca is a classic for a myriad of reasons but the main reason is the relatability of the story. The story includes several applicable themes that just sit well with every viewer. The movie is a love story, a movie about war, a thriller with action, mystery, suspense.....
fanya mpango ugombee ubungeNi movie ya 1947 - Black & White (Love Story kati ya watu wawili ambao wali-sacrifice penzi lao, ina good acting and great dialogue) Ni Vigumu kuelezea ila niki-qoute baadhi ya maneno ya Critics
Ingawa sijasema kwamba utaipenda ila kama upo kwenye hii industry huoni kwamba ni jukumu lako kuangalia wengine wanchosema kuwa ni classic ?, Binafsi nadhani ni nzuri sababu ya actors wali-act vizuri, vilevile kipindi ambacho hakuna CGI, Camera Tricks wala vinjonjo vingi, story lazima iwe imeshiba and in my Humble Opinion its a good story...