Wewe ni Mvulana au mwanaume? | Maana halisi ya Umri ni namba

kuna thin line kati ya wanaume na wavulana. Kila mwanaume ana uvulana ndani yake lakini si kila mvulana ana uanaume ndani yake.
 
kuna thin line kati ya wanaume na wavulana. Kila mwanaume ana uvulana ndani yake lakini si kila mvulana ana uanaume ndani yake.
Ni kweli japo kwa uchache sana kwenye wanaume lakini kwa wavulana yeah hawezi hata kutamani uanaume. Na uanaume sio kuumia au kuteseka tu.. hata akili ya mtu humuonyesha yeye ni mwanaume

Rakims
 
Haya yoote ni maneno ya ANDREW TATE

Ila message sent mkuuuj 😁
 

Damn good!
 
Haya yoote ni maneno ya ANDREW TATE

Ila message sent mkuuuj 😁
Hapana mkuu ni vitabu vya psychology na maarifa ya misingi ya kibinadamu...
Hili limeongelewa sana na wafaransa pamoja na wachina wengi hivyo ni sawa na maarifa ya Jamii point ni zile zile isipokuwa maelezo ya point ni tofauti ama mwalimu tofauti... Next time jitahidi kusoma sana vitabu kuongeza maarifa kuliko Google na search engine zingine...

Yote kwa yote be a Man that's the point.

Rakims
 
Hii lugha ni kama ya AI or webtranslator. Haijakaa kwa kiswahili cha mswahili hivo inahitajika nguvu kidogo kuielewa in details.
Hapana mkuu soma baadhi ya thread zangu utaona uandishi wangu huwa unazingatia nini....
Wote waliosoma wameelewa kasoro wewe tu ndio umetumia nguvu.

Rakims
 
Hii lugha ni kama ya AI or webtranslator. Haijakaa kwa kiswahili cha mswahili hivo inahitajika nguvu kidogo kuielewa in details.
Nilizani ni Mimi pekeyangu nimegundua hiyo inshu....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]
Kiukweli chatgpt imeharibu kizazi sahivi watu wanaoweza kuandika kitu watakua wachache Sana yaani ukisoma kwa Makini unaona ni Kiswahili cha marekani.
 
Nachoshindwa kuelewa hizi tabia za nzi huwa zinawasaidia nini?

Wewe ukisoma mwanzo hadi mwisho unaona hii ni tafsiri ya Artificial Intelligence?,

Ni kiswahili gani katika translator ipi kiandikwa hivi???

Hujaona maana ya ujumbe ukaelewa ila umetafuta hila ya kuunga unga ushabikie upumbavu...

Wewe kama sio mvulana basi ni mwanaume mwenye uvulana mwingi sana ndani yake..

Grow up and change.

Rakims
 
Unapotukana inamaana umezidiwa hoja.
Relax mwamba sijaanza Leo kusoma kazi zako. Anyway nashukuru Kwa matusi yako.
 
Unapotukana inamaana umezidiwa hoja.
Relax mwamba sijaanza Leo kusoma kazi zako. Anyway nashukuru Kwa matusi yako.
Soma mara 2 kisha highlight tusi lipo wapi hapo..

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…