Wewe ni mzazi yupi: Unaruhusu mtoto kumiliki na kutumia simu na mitandao ya kijamii au simu ni marufuku mpaka afike chuo?

Miaka 18 huyo ni mtu mzima Mkuu, tunaongelea watoto chini ya hapo... mpaka inafika miaka 18 unaanza monitor simu yake hapa tatizo litakuwa kubwa, ina maana hakupata msingi mzuri huku chini kiasi kwamba hata kushawishika kwenye mambo mambo mabaya ni rahisi
 
WA kiume Sawa wa kike afike Chuo kwanza Ila ni impossible Yan sahv mwanao ndo anamiaka miwili🤣2040 ety umzuie asiwe na simu hakuna kitu kama hcho kwa hawa watoto wetu ye mwaka 0-10 s ndo vijana kuanzia 2035🤣itakua ngumu hiyo
 
Unafikiri hatotumia simu kweli mpaka afike umri huo? Tena ndio unamfanya atafute njia mbadala za kumiliki simu hiyo
 
Watu wasio na akili wao wanadhani dunia ya sasa ni dunia ya MSHIKA MAWILI MOJA UMPONYOKA ....dunia ya sasa ni ya kuwafundisha watoto kushika MENGI SANA PASIPO KUPONYOKWA NA CHOCHOTE ...hivyo hikitokea kashika 100 na moja kumponyoka huyo yupo vizuri maana anabaki na 99...
Badala ya kumzuia mtoto kutumia simu na kumiliki simu ni bora kumfundisha kuitawala simu kiakili ...
💥 KUNA TOFAUTI YA SIMU KUTAWALA AKILI na AKILI KUTAWALA SIMU
💥 KUNA TOFAUTI YA AKILI KUTAWALA PESA na PESA KUTAWALA AKILI
💥 KUNA TOFAUTI YA MAPENZI KUTAWALA AKILI na AKILI KUTAWALA MAPENZI
mlolongo ni mrefu ...kinachotakiwa kwa mzazi ni kumfundisha mtoto kuvitawala vitu vyote kwa AKILI na siyo AKILI zake kutawaliwa na hivyo vitu.
 
Wakike ni fimbo na kumkanya kwa kutumia maandiko "wa heshimu baba na mama yako upate kheri na miaka mingi duniani"
Unafikiri hatotumia simu kweli mpaka afike umri huo? Tena ndio unamfanya atafute njia mbadala za kumiliki simu hiyo
 
Umesema yote Mkuu, nimependa ulivyoweka hoja yako👏🙌
 
Wakike ni fimbo na kumkanya kwa kutumia maandiko "wa heshimu baba na mama yako upate kheri na miaka mingi duniani"
Kwanini? Yeye hastahili kuelimika katika ulimwengu huu wa digitali?
 
Ahsante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…