Wewe Sheikh Ponda uanze kwanza kwa kuwaambia Hamas wawaachie vijana wetu waliowateka

Huyu jamaa Ponda ni janga kwa taifa letu, hivi hawezi kuvuliwa uraia na kupelekwa Palestina kuishi huko na nduguze?
Propaganda za ccm zimewakaa vichwani mwenu ndio maana wanafanya kila ujinga na hamuwezi kuwahoji, mkiogopa kupelekwa Burundi. Haki mlizo nazo katika Katiba mnajinyima wenyewe, na wajibu wenu hamuujui, ccm wanakazia hapo hapo kwenye udhaifu wa WaTz.
Kama Sheikh anaandamana kupinga upande mmoja, na wewe andamana kupinga kwengine. Ni kuandamana tu, hamna vurugu labda waaandamanaji wakubwa ccm, polisi waamue kuanzisha vurugu.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ni Wanafika sana hao, wana chuki sana na Wakristo

Yaani ndugu zao ni Waislam wenzao tu hata km ni Waarabu hawana uhusiano wowote wa damu wala mfanano wa ngozi, sura na nywele

Ujinga Mtupu
wewe unafanana na mwiziraeli
 
Kuna songi moja linaitwa “Maalim Ponda” la msanii wa hiphop wa Tanzania bwana Theobald Mutalemwa au Nash MC au Maalim Nash.

Nalisikiliza huku namtafakari Sheikh Ponda anavyotumia uhuru wake wa kikatibana sheria za nchi akitafsiri misimamo yake.

“Niponde nisiponde!?”, watu wanaitikia “maalim Ponda”
 
Yanayotokea Sudan mko kimyaa

Nywiiii

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…