Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.
Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha machapisho yako pamoja na tafiti ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya hapa duniani (publications & research).
Pia nondo nzito za kisomi ziwe zimewasilishwa katika ukurasa wako.
Hii inaweza kuwa pingamizi kwa wale wanaojiita wasomi kutokuitwa kwenye vyuo mbali mbali huko duniani katika uwasilishaji wa mada mbalimbali pamoja na kufundisha (flying lecturer).
Tofauti na hivyo, usijiite wewe ni msomi.