Wewe sio msomi

Wewe sio msomi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.

Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha machapisho yako pamoja na tafiti ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya hapa duniani (publications & research).

Pia nondo nzito za kisomi ziwe zimewasilishwa katika ukurasa wako.

Hii inaweza kuwa pingamizi kwa wale wanaojiita wasomi kutokuitwa kwenye vyuo mbali mbali huko duniani katika uwasilishaji wa mada mbalimbali pamoja na kufundisha (flying lecturer).

Tofauti na hivyo, usijiite wewe ni msomi.
 
NAKAZIA and Kwa wale wote mnaohitaji website ili muanze kuwa wasomi halisi moja Kwa moja mnione saa hii hahahaaa, nitawapa website free in charge ila ni lazima uwe na domain pamoja na hosting ili Sanaa na ujuzi wangu uweze kuonekana Kwa watu wote watakao kufuatilia.

Portifolio matters skuizi so hakikisha unaufuata ushauri wa huyu jamaa.
 
Mtoa uzi hajajiita yeye msomi, amehighlight vitu anavyohisi msomi anatakiwa awenavyo. I somehow agree with him, he has a point japokuwa hapo kwenye kumiliki website somehow I disagree
Kumiliki website ni muhimu, kwa sababu wengi wanasingizia kutokuandika machapisho kunatokana na gharama za kutumia majukwaa mengine kufanya 'publication'​
 
Back
Top Bottom