Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mtoa uzi hajajiita yeye msomi, amehighlight vitu anavyohisi msomi anatakiwa awenavyo. I somehow agree with him, he has a point japokuwa hapo kwenye kumiliki website somehow I disagreeTuonyeshe tovuti yako kwanza!
Mbona haifungukiwww.equationx.org/research papers 1983-2024 π
Ulimwengu wa 'digital' huu hakuna namna, inabidi tuuthibitishie ulimwengu ya kuwa sisi ni wasomiWebsite? π€π€
machapisho na tafiti za mara kwa mara ni muhimuKwahiyo usomi ni website
NAKAZIA and Kwa wale wote mnaohitaji website ili muanze kuwa wasomi halisi moja Kwa moja mnione saa hii hahahaaa, nitawapa website free in charge ila ni lazima uwe na domain pamoja na hosting ili Sanaa na ujuzi wangu uweze kuonekana Kwa watu wote watakao kufuatilia.Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.
Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha machapisho yako pamoja na tafiti ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya hapa duniani (publications & research).
Pia nondo nzito za kisomi ziwe zimewasilishwa katika ukurasa wako.
Hii inaweza kuwa pingamizi kwa wale wanaojiita wasomi kutokuitwa kwenye vyuo mbali mbali huko duniani katika uwasilishaji wa mada mbalimbali pamoja na kufundisha (flying lecturer).
Tofauti na hivyo, usijiite wewe ni msomi.
ππππHIO website πππwww.equationx.org/research papers 1983-2024 π
Mtoa uzi hajajiita yeye msomi, amehighlight vitu anavyohisi msomi anatakiwa awenavyo. I somehow agree with him, he has a point japokuwa hapo kwenye kumiliki website somehow I disagree
Utatuzi utaweza msaidia msomi kujulikana kimataifa na kuongeza fursa?Tovuti sio kigezo cha usomi, lakini usomi unaweza kupimwa kwa namna muhusika anavyo tatua changamoto mbalimbali pamoja na kurahisisha mambo yake kwa kutumia taaluma yake
Je huyo ataitwa pale harvard kufanya 'presentation'?Tovuti sio kigezo cha usomi, lakini usomi unaweza kupimwa kwa namna muhusika anavyo tatua changamoto mbalimbali pamoja na kurahisisha mambo yake kwa kutumia taaluma yake
Leo tuko kisomi zaidi πWe una website?
Nje ya mada!
Mkuu Leo mabinti wamepumzika?
Watu wote wakiiitwa havard vyuo vingine atasoma nani?Je huyo ataitwa pale harvard kufanya 'presentation'?
π€π€Unyama mwingiπππLeo tuko kisomi zaidi π