Ame highlight vitu anyotakiwa kuwanavyo msomi au anayejiita msomi.Mtoa uzi hajajiita yeye msomi, amehighlight vitu anavyohisi msomi anatakiwa awenavyo. I somehow agree with him, he has a point japokuwa hapo kwenye kumiliki website somehow I disagree
Neno msomi Ukilisikia unaelewa nini ?Hakuna kitu na chukia kama hili na kulisha maneno waliosoma kwamba "ANAJIITA MSOMI"
Nani kajiita msomi STUPID HATES
😀Tanzania wapo wangap au ni mm to
Wanajitambua kuwa wao sio wasomi, ila wamehudhuria masomoAme highlight vitu anyotakiwa kuwanavyo msomi au anayejiita msomi.
Ulishawai kuona aliyesoma anajiita msomi, hakuna ishu nisiyoipenda kama hii sentensi "ANAJIITA MSOMI"
NANI MBONA MIMI NA KILASIKU KWENYE HARAKATI ZANGU NAKUTANA NA GRADUATES SIJAWAI KUONA ANAYEJIITA MSOMI.
Hakuna kitu na chukia kama hili na kulisha maneno waliosoma kwamba "ANAJIITA MSOMI"
Nani kajiita msomi STUPID HATES
Vyeti vinakutambulisha umehudhuria masomo fulani, ila hujawa msomi; kuwa msomi unatakiwa ufanye kazi ya ziada.Wewe wewe🥹, vyeti vinatosha kumtambua msomi
Kuna clouds service zipo and free, ukilinganisha na cost ya kuendesha website. Japo nakubali website is good but binafsi I think cloud platforms like github, etc ni nzuri zaidiKumiliki website ni muhimu, kwa sababu wengi wanasingizia kutokuandika machapisho kunatokana na gharama za kutumia majukwaa mengine kufanya 'publication'