Wewe sio msomi

Wewe sio msomi

Mtoa uzi hajajiita yeye msomi, amehighlight vitu anavyohisi msomi anatakiwa awenavyo. I somehow agree with him, he has a point japokuwa hapo kwenye kumiliki website somehow I disagree
Ame highlight vitu anyotakiwa kuwanavyo msomi au anayejiita msomi.

Ulishawai kuona aliyesoma anajiita msomi, hakuna ishu nisiyoipenda kama hii sentensi "ANAJIITA MSOMI"

NANI MBONA MIMI NA KILASIKU KWENYE HARAKATI ZANGU NAKUTANA NA GRADUATES SIJAWAI KUONA ANAYEJIITA MSOMI.
 
Hakuna kitu na chukia kama hili na kulisha maneno waliosoma kwamba "ANAJIITA MSOMI"

Nani kajiita msomi STUPID HATES
 
Ame highlight vitu anyotakiwa kuwanavyo msomi au anayejiita msomi.

Ulishawai kuona aliyesoma anajiita msomi, hakuna ishu nisiyoipenda kama hii sentensi "ANAJIITA MSOMI"

NANI MBONA MIMI NA KILASIKU KWENYE HARAKATI ZANGU NAKUTANA NA GRADUATES SIJAWAI KUONA ANAYEJIITA MSOMI.
Wanajitambua kuwa wao sio wasomi, ila wamehudhuria masomo
 
Kumiliki website ni muhimu, kwa sababu wengi wanasingizia kutokuandika machapisho kunatokana na gharama za kutumia majukwaa mengine kufanya 'publication'​
Kuna clouds service zipo and free, ukilinganisha na cost ya kuendesha website. Japo nakubali website is good but binafsi I think cloud platforms like github, etc ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom