Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mi nasubiri mada za mijimamaLeo tuko kisomi zaidi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nasubiri mada za mijimamaLeo tuko kisomi zaidi 😀
Kama ni hivyo, WEWE SIO MSOMI 😀Tumekariri makaratasi inatosha, usituchoshe......
Ni naniKama ni hivyo, WEWE SIO MSOMI 😀
Ongeza bando itafungukaMbona haifunguki
Mkuu acha kutuchota ,ina exist kweli hio website yako?Ongeza bando itafunguka
Si unaona imebadilika rangi?Mkuu acha kutuchota ,ina exist kweli hio website yako?
Www.muongo@webmill.comSi unaona imebadilika rangi?
Mpiga kelele tuNi nani
Si imebadilika pia? Hebu ifungue basi.
Si unaona imebadilika rangi?
Kwendraaaa hiyo website unayo??? Naomba kudesaMpiga kelele tu
Tunataka tuone machapisho na tafiti zenu za mara kwa mara
Inaonekana haijalipiwa; lipia 'domain + hosting'Si imebadilika pia? Hebu ifungue basi.
Tatua hiyo 'error' kwanza
Error ?Tatua hiyo 'error' kwanza
Kuwa nayo ni suala lingine, na kuandika vitabu, kufanya machapisho na tafiti ni suala lingine pia; kwa hiyo vyote unatakiwa kuwa navyoKwendraaaa hiyo website unayo??? Naomba kudesa
Sasa hao sio wasomi, ni wapiga kelele tuWasomi wa sasa huwaambii kitu kuhusu website wakaelewa, wapo Bize na challenge za Tik tok