Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ushampa muongozo hapoHakika umenena...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
ndiyo maana mambo yao nawaachiaga wenyewe...
Cc: mahondaw
Nitakucc kesho mpenziMbona hujani CC na mimi? [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
huyu jamaa nshawahi kummaind sana yaan hakuna thread itapita bila yy kiandka neno "ngoja waje" yaan inaboha wazee askwambie mtu......baada ya kuona haelewi nkaamua kuset IGNORE REPLY kwa hyo sku hz hata akireply uzi wwte naoneshwa alama ya IGNORED, badala ya kuona reply yake.Habari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".
Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.
Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.
Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.
Muwe na usiku mwema
Yaani kusoma hivyo unaboreka kupita maelezo mkuu..haha kweli duniani hatufanani.huyu jamaa nshawahi kummaind sana yaan hakuna thread itapita bila yy kiandka neno "ngoja waje" yaan inaboha wazee askwambie mtu......baada ya kuona haelewi nkaamua kuset IGNORE REPLY kwa hyo sku hz hata akireply uzi wwte naoneshwa alama ya IGNORED, badala ya kuona reply yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua first year 2019/2020 wamekuja na matranka, magodoro, magunia ya vyakula sare za shule na maudambu udambu kibao
Sogea kwa upepo wa kisulisuli jioneee kwenye huu uzi
Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza
First year wamekuwa wakifanya vimbwanga mbalimbali pale tu wanaopenda kufanya usajili mimi nimevinyaka hivi kwa first year wanaoingia chuoni kufanya usajili mwaka huu. Navibandika hapa na wewe bandika vyako hapo chini tuongezea angalau siku za kuishi.www.jamiiforums.com
Hapana sio makusudi bhana jaribuni kueshimu mawazo ya mtu maana alicho comment ndio mawazo yake katika hiyo mada nazani unajua kuwa hatufanani mawazo, pamoja na mitazamo kila mtu anakuwa na mawazo yake na mtazamo wake juu yakile anachokiona.Ninkweli sio kosa. Lkn mtu kila unapokuta kachangia hachangii vitu vya msingi anakuwa kama anafanya kusudi.
For the very first time Smart umeongea maneno mengi na ya kitofauti kwa comment, 'Kweli tupo tofauti'.!!