Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Habari wakuu.

Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.

Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".

Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.

Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.

Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.

Muwe na usiku mwema
huyu jamaa nshawahi kummaind sana yaan hakuna thread itapita bila yy kiandka neno "ngoja waje" yaan inaboha wazee askwambie mtu......baada ya kuona haelewi nkaamua kuset IGNORE REPLY kwa hyo sku hz hata akireply uzi wwte naoneshwa alama ya IGNORED, badala ya kuona reply yake.
 
Yaani kusoma hivyo unaboreka kupita maelezo mkuu..haha kweli duniani hatufanani.
 
Unajua first year 2019/2020 wamekuja na matranka, magodoro, magunia ya vyakula sare za shule na maudambu udambu kibao
Sogea kwa upepo wa kisulisuli jioneee kwenye huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninkweli sio kosa. Lkn mtu kila unapokuta kachangia hachangii vitu vya msingi anakuwa kama anafanya kusudi.
Hapana sio makusudi bhana jaribuni kueshimu mawazo ya mtu maana alicho comment ndio mawazo yake katika hiyo mada nazani unajua kuwa hatufanani mawazo, pamoja na mitazamo kila mtu anakuwa na mawazo yake na mtazamo wake juu yakile anachokiona.
 
Back
Top Bottom