Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

huyu jamaa nshawahi kummaind sana yaan hakuna thread itapita bila yy kiandka neno "ngoja waje" yaan inaboha wazee askwambie mtu......baada ya kuona haelewi nkaamua kuset IGNORE REPLY kwa hyo sku hz hata akireply uzi wwte naoneshwa alama ya IGNORED, badala ya kuona reply yake.
 
Yaani kusoma hivyo unaboreka kupita maelezo mkuu..haha kweli duniani hatufanani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninkweli sio kosa. Lkn mtu kila unapokuta kachangia hachangii vitu vya msingi anakuwa kama anafanya kusudi.
Hapana sio makusudi bhana jaribuni kueshimu mawazo ya mtu maana alicho comment ndio mawazo yake katika hiyo mada nazani unajua kuwa hatufanani mawazo, pamoja na mitazamo kila mtu anakuwa na mawazo yake na mtazamo wake juu yakile anachokiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…