Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Habari wakuu.

Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.

Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".

Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.

Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.

Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.

Muwe na usiku mwema
Tatizo watu ni wabishi sana

cc mahondaw
 
Kwani uwepo wake na michango yake mifupi imekukera nini hasa?
Au kuna biashara kukuharibia, au kakurushia Ndege wako...?

Najiuliza ni nini hasa alichokukera? Kakutukana?

Acha chuki zisizo na msingi Mkuu!!!
Kila mtu yupo hapa kwa sababu Zake, na kuchangia vile anajiskia.......

Ukitaka kujua umuhimu wa hao watu wa "Ngoja waje " waulize wanao post matangazo au kuuliza Maswali coz hufanya page itembee na ionekane!

Member wote hawawezi kuwa Wewe!!
Heshimu uwepo wa wengine.

Hakika umenena...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

ndiyo maana mambo yao nawaachiaga wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom