Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Real men we have a code of ethics
•No question
•No jealousies
•No feminine tendencies
•We expecting
•No gossip.
Habari wakuu.

Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.

Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".

Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.

Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.

Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.

Muwe na usiku mwema
 
Kuna kale kajamaa kaliibuka kipindi kile kenye avatar ya mtoto aliyebemendwa kanaitwa @Joveless (kama sikosei)
Kalikuwaga kanakomenti kila uzi sijui siku hizi kamepotelea wapi nahisi kamepata ajira.
 
Back
Top Bottom