Yote ni kujilisha upepoKuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani
Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo yanasimama lakini ya wengine lazima yaendelee.
Ujumbe huu thabiti uwafikie samia na genge lake la utekaji, ujambazi, ufisadi n.kKuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani
Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo yanasimama lakini ya wengine lazima yaendelee.
siku za mwanadamu ni fupi .....zinahesabikaKuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani
Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo yanasimama lakini ya wengine lazima yaendelee.
Thibitisha kuwa unakufa ili uishi"Why am dying to live if am living to die."