UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 327
- 421
πππππ A na B yote sawaaUlanzi, Mbege, Mnazi, Banana (OG), Konyagi, Safari Lager, Whindoek, Dry wine.
Vitu vya Asili hvyoUlanzi
Tumbo lako litakuwa sawa na banda la nguruweπUlanzi, Mbege, Mnazi, Banana (OG), Konyagi, Safari Lager, Whindoek, Dry wine.
Team kula Bata ππππππππππ₯π₯π₯
πππππ We jamaa mbna mtata sanaaTumbo lako litakuwa sawa na banda la nguruweπ
π₯π₯π₯π₯ππππMimi Kila nikifika sehem flan lazma niulize pombe Gani ya kienyeji apa?Baada ya hapo lazma nitaabaruku...View attachment 3427034
Hongeraa kwa kutokuwa mlevi ππππ€π€π€Harufu ya pombe ni chukizo kwenye nafsi yangu
Situmii pombe za aina yoyoteπ Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia.
Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??View attachment 3427025
ππππ€π€π€ Watu hatujui tunachomoka lini kwenye safar hiiSitumii pombe za aina yoyote