Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

Pombe za asili ni nzuri changamoto ni usafi wakati wa kuzitengeneza. Hasa zile zinazohitaji kukamuliwa wakati wa kuandaa, ukiona hali za wale wataalam wa kukamua ni hatari.
 
📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia.

Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??View attachment 3427025
Hizi hapa ambazo pia ni dawa
 
Hapa Sokodogo mbeya vijana wamegeuka wazeee gafla, nadhani ni hizo bottle za kienyeji
 
Back
Top Bottom