Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

Pombe za asili ni nzuri changamoto ni usafi wakati wa kuzitengeneza. Hasa zile zinazohitaji kukamuliwa wakati wa kuandaa, ukiona hali za wale wataalam wa kukamua ni hatari.
 
Hizi hapa ambazo pia ni dawa
 
Hapa Sokodogo mbeya vijana wamegeuka wazeee gafla, nadhani ni hizo bottle za kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…