Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

Yaaani ufanye uzinzi na uasherati na ufirauni ufikirie ntakuwa sawa na mtu mchafu mimi,,

Kafiruulah inna lilah
Astaghaffillah astaghaffillah kwahyo weww mnywa pombe ndo utakua sawa na mimi ambaye nawasitiri wamama..

Shame upon on you...
Jitahidi uwe unapanga hoja, at weka wazo zima kwenye stanza moja
 
Unawasitiri we kei nn ? Unawasitiri wametaka stara zako ??
Unajua maana ya kusitiri...
Kama mtu hapati anachostahiki kwa mtu wake unazani matamanio yake anapeleka wapi..
Jaribu kusoma soma kwanza ndo uje hapa na hoja nzito kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…