Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Bwana Yesu asifiwe,

Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao,

Watu hao wamekamatia siku yako yako ya kuzaliwa ndio maana wewe hukui kama wenzako.

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Hukui kimichezo,
Hukui kiutajiri,
Hukui kiroho,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka " Siku imesisima"

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa kimwili tu vingine vyote viko palepale havikui kabisa,

Njóo Apostle atafafanua vizuri zaidi kuhusu siku ya kuzaliwa na kwanini ameweka keki ya Upako,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako kisiasa au hali yako kiuchumi.

====
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

#HUDUMA HII NI YA BURE KABISA

View attachment 2848928
Mwamposa ni Wakili wa Mungu kihalali kabisa Mfuatilie kabla hujampinga
 
Mambo yote ulitotaja yanatatuliwa kwa kipato, ajira, mshahara! Sio maombi bro! Ulaya, USA, Malaysia, Vietnam, south Afrika, china, hazikujengwa kwa maombi! Muogopeni Mungu,
Akili, sayansi,ndio vinajenga nchi, na, wananchi!sio, maombi! Wenye matatizo yasioyotibika hospitsri sawa, Ila waumin wenu wengi ni maskini wa kipato! Hawana, pesa, za kutosha kula vzr, kusomesha vzr, sasa unamsomesha mtoto shule darasani wapo 100+mwalimu mmoja, atafaulu vipi!? Ha kuna mtoto, mzazi, anayesomesha mtoto feza, IST, nk anayekuja "kuombewa" Wanaokuja "kuombewa" Wanatoka mbagala,bunju nk!
Mchungaji wenu hqkupiga magoti akaomba, ndio akapata hotel ya, nyota tstu mbeya! Hotel imejwngwa taratibu!
 
Sasa masikini ndio wanapashwa kuombewa ili wawe Matajiri na wengi wao Hali zao zimebadilika sana
 
Kama kungekuwa hakuna impact yeyote inayopatikana watu wasingekuwa wanaenda kwake !!
Waganga wa kienyeji daily wanadanganya watu, mara tembea na mtoto mdogo watu wanabaka hadi mabint zao, na matukio hayajawahi kuisha....impact ipi?
 
Bwana Yesu asifiwe,

Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao,

Watu hao wamekamatia siku yako yako ya kuzaliwa ndio maana wewe hukui kama wenzako.

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Hukui kimichezo,
Hukui kiutajiri,
Hukui kiroho,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka " Siku imesisima"

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa kimwili tu vingine vyote viko palepale havikui kabisa,

Njóo Apostle atafafanua vizuri zaidi kuhusu siku ya kuzaliwa na kwanini ameweka keki ya Upako,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako kisiasa au hali yako kiuchumi.

====
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

#HUDUMA HII NI YA BURE KABISA

View attachment 2848928
Nitakuwepo Mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom