The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Inawezekana mama ndo alikuwa anafuatilia maendeleo baba yupo busy sasa leo kaletea result anashangaaaaYou do nothing. Kama mzazi umeweza kulipa pesa zote hizo na ulikuwa unafatilia homework,tests na vikao vya mara kwa mara vya parent teacher and student kujua maendeleo ya mwanao, this will not come as a surprise. Hapo baba amereact ni kama hajawahi kuona kazi za mtoto the whole year.
Otherwise tusiignore matokeo yake ya Music,sio kila mtu aliandikiwa kufanya vizuri kwenye science and mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue sio mtoto kufanya vizuri kwenye science na maths issue ni huyo mtoto kuandikiwa ABSENT that is disrespectful atleast appear to the exams and fail ninyi akina mama ndo mnatuharibiaga watoto mnataka baba awe na majukumu mangapi??? Aongoze familia, aangalie matokeo ya mtoto, atafte ada , alipe bill zote wewe mama unafanya nini uko whatsap na twitter na hapa JF ulitakiwa uwe unamwambia baba mtoto maendeleo sio mazuri unafatilia that kid deserved the smacks from dad na tena wengi wetu tumekuzwa probably nakufanikiwa kutokana na kupigwa na kuelekezwa kwa ukali na wazazi wetu wa kiafrikaYou do nothing. Kama mzazi umeweza kulipa pesa zote hizo na ulikuwa unafatilia homework,tests na vikao vya mara kwa mara vya parent teacher and student kujua maendeleo ya mwanao, this will not come as a surprise. Hapo baba amereact ni kama hajawahi kuona kazi za mtoto the whole year.
Otherwise tusiignore matokeo yake ya Music,sio kila mtu aliandikiwa kufanya vizuri kwenye science and mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanawake akili zao sijui hua ziko wapi mi natimua kabisa mi nalipa 21k USD then mama anakuja anasema its ok usimpige shwain nitampiga yeye badala ya mtoto🤣🤣🤣🤣Mkewe ndio amerekodi hapa!!??
kweli baadhi ya wanawake ni takataka....
dogo jinga mno....
usikute mama yake ndio anamlea hovyo stpd
Kweli hata mimi ningepiga wote nakamata nafunga mizigo yote miwili mama na mtoto narusha nje hukoHawa wanawake akili zao sijui hua ziko wapi mi natimua kabisa mi nalipa 21k USD then mama anakuja anasema its ok usimpige shwain nitampiga yeye badala ya mtoto🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga. Ss nalipa pesa nyingi si ili apate elimu sahihi bila mm kutumia nguvu kubwa.You do nothing. Kama mzazi umeweza kulipa pesa zote hizo na ulikuwa unafatilia homework,tests na vikao vya mara kwa mara vya parent teacher and student kujua maendeleo ya mwanao, this will not come as a surprise. Hapo baba amereact ni kama hajawahi kuona kazi za mtoto the whole year.
Otherwise tusiignore matokeo yake ya Music,sio kila mtu aliandikiwa kufanya vizuri kwenye science and mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hata mimi ningepiga wote nakamata nafunga mizigo yote miwili mama na mtoto narusha nje huko
Hawa wanawake akili zao sijui hua ziko wapi mi natimua kabisa mi nalipa 21k USD then mama anakuja anasema its ok usimpige shwain nitampiga yeye badala ya mtoto🤣🤣🤣🤣
Aisee hata Mimi nahisi ivyo, hapo ningeanza na anayechukua video, yaani MTU umewaka kiasi iyo halafu kamtu kanachukua video, iyo simu na yeye ningeanza navyoMkewe ndio amerekodi hapa!!??
kweli baadhi ya wanawake ni takataka....
dogo jinga mno....
usikute mama yake ndio anamlea hovyo stpd
Jamaa amewaka kama mbogo baada ya kutumia maelfu ya Dollar kwa ada ya mtoto halafu matokeo yakawa haya.
View attachment 1427485
View attachment 1427484
Ona mzazi alivyowaka.
Mimi binafsi namng'oa meno.