Wewe ungekua mzazi wa huyu mtoto ungemfanyaje?

Wewe ungekua mzazi wa huyu mtoto ungemfanyaje?

Yaani toto halina akili lakini unalipa dollar 21m ni zaidi ya 48m.Ila mi jike huwa source kubwa ya hayo.Haioni thamani ya fedha zilizo tafutwa na mwingine,ila mwaga kichupa cha rangi ya kucha aliyonunua kwa fedha zake,ataongelea mwaka mzima
 
Dogo akili karithi kwa mchukua video..anataka kuwa Nicki minaj
 
Daa inaudhi kwa Kweli ila baba nae hata kufuatilia mienendo ya mtoto
Hata mbuzi zizini unahoji ukiona wamekonda
Jamani ni vizuri kufuatilia tangu watoto wadogo utajua kama ana uwezo au hana
Hapo inaonekana dingi alikuwa analipa tu na masifa kibao kuwa mtoto tangu kindergarten ni private


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Write your reply...Mtoto akifanya vizuri baba anajisifia, mambo yakienda kombo lawama kwa mama. Hivi ni kwa nini?
 
kwa wale wapenzi wa vitabu,someni kitabu cha RICH DAD POOR DAD..haya mambo kayaeleza sana humo...hii ni tendency ya wazazi wengi sana...wanahisi GOOD PERFORMANCE IN SCHOOL GUARANTEES A GOOD FUTURE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom