Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Nifanyeje kuhusu dogo aliyekopa kutumia line yangu pesa nyingi kiasi kile na kutokomea? Alikopa takribani 1.3M kupitia songesha na wezesha.Saivi inawezekana vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifanyeje kuhusu dogo aliyekopa kutumia line yangu pesa nyingi kiasi kile na kutokomea? Alikopa takribani 1.3M kupitia songesha na wezesha.Saivi inawezekana vizuri
Nifanyeje kuhusu dogo aliyekopa kutumia line yangu pesa nyingi kiasi kile na kutokomea? Alikopa takribani 1.3M kupitia songesha na wezesha.
Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.Huna cha kufanya it’s either ulipe au uipotezeee hiyo line
Hiyo line kama umesajili mwenyewe utapatikana tuBora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.
Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.Huna cha kufanya it’s either ulipe au uipotezeee hiyo line
Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msalaHiyo line kama umesajili mwenyewe utapatikana tu
Kama umesajili wewe kaka nakupa pole sana. Maana hilo deni sio dogo wakuache bila kuziwekea vikwazo line zako zingine ili ujipeleke shop mwenyewe. Kuna ile inaitwa 'vigezo na masharti' ulisaini kielektroniki kwamba chochote kinachofanyika kwa line yako utalipa wewe. Cha kufanya hapo anza kurejesha mdogo mdogo maana kwanza hiyo line yako ina sifa ya umri mrefu itakufaa sana kwa kazi siku za baadae. Na huenda ukiitelekeza utakuja kuikumbuka siku za usoni. Lipia tu hilo deni boss. Ni ushauri lakini.Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.
Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msala
Ukiachana nayo uwe na uhakika hutahitaj kutumia tena vodaBora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.
Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msala
Uzuri hii inasaidia sana kwa wakala kama mtaji ni mdogoKwema ndugu zangu....leo nilikuwa naomba kupata elimu juu ya wezesha kwenye m-pesa hasa kwa mawakala mfano nikikopa 150,000/= marejesho yake shs ngap??. Kwa mda wa mwezi mmoja.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwamba unataka kutuambia line uliompa ulimpa mpaka naba ya siri?Nilimpa dogo mmoja atumie laini yangu lakini cha kushangaza kapiga matukio eti kakopa sehemu zote hizo 2 hii imekaeje au iliwezekana vipi?
Kufanyia kazi ya uwakala unaifanya vipi bila kumpa PIN?Kwamba unataka kutuambia line uliompa ulimpa mpaka naba ya siri?