Wezesha kwenye M-PESA

Wezesha kwenye M-PESA

Saivi inawezekana vizuri
Nifanyeje kuhusu dogo aliyekopa kutumia line yangu pesa nyingi kiasi kile na kutokomea? Alikopa takribani 1.3M kupitia songesha na wezesha.
 
Nifanyeje kuhusu dogo aliyekopa kutumia line yangu pesa nyingi kiasi kile na kutokomea? Alikopa takribani 1.3M kupitia songesha na wezesha.

Huna cha kufanya it’s either ulipe au uipotezeee hiyo line
 
Huna cha kufanya it’s either ulipe au uipotezeee hiyo line
Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.
Hiyo line kama umesajili mwenyewe utapatikana tu
Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msala
 
Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.

Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msala
Kama umesajili wewe kaka nakupa pole sana. Maana hilo deni sio dogo wakuache bila kuziwekea vikwazo line zako zingine ili ujipeleke shop mwenyewe. Kuna ile inaitwa 'vigezo na masharti' ulisaini kielektroniki kwamba chochote kinachofanyika kwa line yako utalipa wewe. Cha kufanya hapo anza kurejesha mdogo mdogo maana kwanza hiyo line yako ina sifa ya umri mrefu itakufaa sana kwa kazi siku za baadae. Na huenda ukiitelekeza utakuja kuikumbuka siku za usoni. Lipia tu hilo deni boss. Ni ushauri lakini.
 
Bora niipotezee kuliko kulipa pesa ambayo sikula mimi.

Ndiyo nimeisajili mimi. Najua nitapatikana lakini kama siyo ya kuburuzana siwezi kuilipa maana inaniuma sana kumpa mtu atafutie ulaji halafu yeye atokomee na kuniachia msala
Ukiachana nayo uwe na uhakika hutahitaj kutumia tena voda
 
Kwema ndugu zangu....leo nilikuwa naomba kupata elimu juu ya wezesha kwenye m-pesa hasa kwa mawakala mfano nikikopa 150,000/= marejesho yake shs ngap??. Kwa mda wa mwezi mmoja.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Uzuri hii inasaidia sana kwa wakala kama mtaji ni mdogo
 
Nilimpa dogo mmoja atumie laini yangu lakini cha kushangaza kapiga matukio eti kakopa sehemu zote hizo 2 hii imekaeje au iliwezekana vipi?
Kwamba unataka kutuambia line uliompa ulimpa mpaka naba ya siri?
 
Back
Top Bottom