Dawa usipendeze tu kuwa mchafu mchafu ili usiibiwe.Wezi wanarudisha nyuma maendeleo. Wakikuona unapendeza wanajua una maisha bora kuliko wao.
Wanazingua kinoooma, sipati kusema, ila wezi miyeyusho saana.Wezi wanarudisha nyuma maendeleo. Wakikuona unapendeza wanajua una maisha bora kuliko wao.
Njoo Muhimbili kuna story za wizi wa ajabu.Unaweza kujiuliza hili swali kama mimi na huenda usipate majibu yake...
Hii kauli huwa nawaambia wanafoka kama minyani...Kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Hata wewe. Kwa iyo ukiibiwa potezea tu songa mbele. Cha kufariji hao waliokuibia kuku nao wataibiwa tu na wengine na hao wengine waliowaibia nao watalizwa tu. It is a cycle kausha tu na kupotezea.
Ila Rashford anakera sana asee.
Wewe unaongelea vibaka! Vipi wezi sekarini? Hao ndo wabaya kabisaUnaweza kujiuliza hili swali kama mimi na huenda usipate majibu yake.
Fikiria mtu upo unapambana ujikwamue kutoka kwenye umasikini, unafuga kuku, mbuzi; unajenga kabanda kako ka kujistiri na mvua, cha ajabu kuna mtu mwingine anawaza kuja kukuibia hata hicho kidogo ulichonacho!
Mwizi ni mwizi tu hata akiiba kuku wa mwenye uhitaji hapaswi kutetewa. Wezi ni watu wenye roho mbaya sana! Tena kwa wale wanaowaibia masikini wanapaswa kuongezewa adhabu!
Unatembea na vitambulisho vyote kwani wewe ni mkimbizi.CHUNGA TAMAA MBAYA IN 20 ASILIMIA VOICE NYIMBO INA UJUMBE MZITO SANA NISHAWAHI IBIWA WALLET KWENYE DALADALA DAH NIKAPOTEZA VITAMBULISHO VYANGU VYOTE MUHIMU NA WALLET ILI NA MTASHA MMOJA TU KAKI NA BUKU MBILI MBILI TU DAHHH
ππ.wezi wanarudisha nyuma guys
Usicheke ni serious πππππ